Una swali, tatizo la malipo, au unahitaji msaada wowote? Wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo.
Bonyeza alama ya “hifadhi” kwenye video unayotaka. Itapakuliwa na utaweza kuiangalia katika sehemu ya “Video Zilizohifadhiwa” hata bila mtandao.
Hakikisha umeweka PIN kuthibitisha malipo kwenye simu yako. Kama bado kuna tatizo, wasiliana nasi kwa namba zilizo hapo juu.
Katika ukurasa wa Sadaka, chagua kichupo cha “Nchi nyingine” kupata namba za kuwasiliana nasi kwa maelekezo ya malipo.
Fungua “Taarifa Yangu” katika ukurasa wa Sadaka, kisha bonyeza “Simamisha” kwenye mchango husika.
Soma pia Sera yetu ya Faragha.